Hii ni utengenezaji wa video mpya inayokuja ya msanii wa bongo fleva TIMBULO wimbo unaojulikana kwa jina la WALEO WAKESHO. Location hizi unazoziona kwenye picha ni maeneo mbalimbali. Video imefanywa na Visual Lab Dir akiwa ni Adam Juma.
![]() |
| Adam akiwa anaonyesha maujanja yake katika camera |
![]() |
| Sam waukweli akuwa nyuma sana katika video hiyo. |





No comments:
Post a Comment